Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Maendeleo ya Huduma za Mtandao nchini Comoro (ANADEM) Bw. Said Mouinou
Wanafunzi wa Chuo cha DIT wameshauriwa kuweka bidii na maarifa katika masomo yao ili waweze kufikia malengo na
Wafanyakazi 14 wa TTCL na KINAPA watunukiwa tuzo maalum kwa kufanikisha ujenzi wa mawasiliano ya Intaneti katika kilele cha Mlima Kilimanjaro.
Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL , limesema linandelea kuwezesha nchi zinazoizunguka Tanzania kupata huduma ya Mawasiliano kupitia
Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni Mwakilishi wa Wanawake Mkoa
Waziri wa Kilimo. Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar Mhe. Shamata Khamis amelipongeza Shirika la Mawasiliano Tanzania –TTCL kwa huduma wanazozitoa ambapo zimerahisisha Mawasiliano Nchini Tanzania na nje ya Nchi.
Shirika la Mawasiliano Tanzania-TTCL limepongezwa kwa jitihada na kazi kubwa inayofanyika ya kuleta mageuzi kidijitali nchini.
Wanawake Wafanyakazi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania wameshauri kuendeleza jitihada zaidi na ubunifu, kujitambua,
Shirika la Mawasiliano Tanzania- TTCL Limedhamini Michuano ya Samia Youth Cup lenye lengo la kukuza vipaji kwa vijana katika michezo hapa nchini.
Kamati Tendaji ya Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania limefanya ziara
Wafanyakazi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL Corporation wameungana na Wafanyakazi wenzao duniani
SERIKALI ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, imelitaka Shirika la Mawasiliano Tanzania (TCCL), kuhakikisha
Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Umma wameendelea na Kikao Kazi kilichowakutanisha jijini Arusha kwa lengo la kujadili masuala
Katika hatua muhimu ya kuimarisha ushirikiano wa kikanda katika sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) ametembelea banda la Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL lililopo ndani ya TEHAMA PAVILION katika Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.