Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Moremi Marwa, amefanya ziara mkoani Kigoma kwa lengo la kukagua maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati ya mawasiliano, inayolenga kuimarisha miundombinu ya kidijitali, kuongeza upatikanaji wa huduma za mawasiliano na kufungua fursa mpya za biashara ndani na nje ya Tanzania.
Maafisa wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wanaendelea kuwahudumia wananchi wanaotembelea Banda la TTCL katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026), kwa kuwapatia elimu kuhusu huduma na suluhisho mbalimbali za mawasiliano na teknolojia za kidijitali zinazotolewa na TTCL.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Mohammed Khamis Abdulla, amesema
Kampuni ya T-Pesa imedhamini na kushiriki kikamilifu katika Semina ya Uongozi wa Wanawake katika Bima Barani Afrika
Mhe. Jerry Slaa (Mb) amewataka Wadau wa sekta ya TEHAMA na Mawasiliano kuunganisha Afrika kwenye miundombinu ya mawasiliano
Shirika la Mawasiliano Tanzania –TTCL Corporation limepeleka huduma na bidhaa zake katika Maonesho ya Wakulima na Wafugaji maarufu
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limetumia fursa ya Kongamano la Biashara linalofanyika jijini Osaka, Japan kuanzia
Watumishi wa Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania, T-PESA
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kuunga mkono juhudi za Serikali za kukuza ujuzi wa teknolojia nchini kwa kutoa mafunzo ya kitaalamu kwa wanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kuhusu uendeshaji na usimamizi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano.
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limefanya kikao cha 12 cha Baraza Kuu la Wafanyakazi
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limewakamata watu 11 wanaodaiwa kujihusisha na wizi, uharibifu, usafirishaji na biashara ya miundombinu ya mawasiliano ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), huku likisema hali ya usalama jijini kwa ujumla ni shwari.
Shirika la Mawasiliano Tanzania- TTCL Limedhamini Michuano ya Samia Youth Cup lenye lengo la kukuza vipaji kwa vijana katika michezo hapa nchini.
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb),
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kuunga mkono juhudi za Serikali za kujenga mazingira wezeshi kwa uchumi wa kidijitali Zanzibar kwa kuwezesha huduma ya intaneti katika mradi wa makazi wa Amani Residency, uliopo Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, kupitia huduma yake ya Faiba Mlangoni Kwako.
Shirika la Mawasiliano Tanzania- TTCL Corporation limefanikiwa kukusanya shilingi 135,216,317,693 hadi kufikia Aprili 2024 katika