info@ttcl.co.tz
+255 22 210 0100
News
News
July 22, 2025 10:15:08 | By Adeline Berchimance KITUO CHA TAARIFA CHA KILIMANJARO TELECOM KICHOCHEO CHA MAPINDUZI YA KIDIGITALI KIKANDA

Katika hatua muhimu ya kuimarisha ushirikiano wa kikanda katika sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)

News
August 25, 2023 15:06:26 | By Adeline Berchimance TTCL KITOVU CHA MAENDELEO SEKTA YA MAWASILIANO

Imeelezwa kuwa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) ni kitovu cha maendeleo ya Sekta ya Mawasiliano na kitovu cha maendeleo ya uchumi wa Kidigitali nchini.

News
August 14, 2026 16:19:54 | By Debora Ngalima MHE. RAIS APITA BANDA LA TTCL, AWASALIMIA VIONGOZI NA WAFANYAKAZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasalimia Viongozi na Wafanyakazi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) waliokuwa wakiliwakilisha Shirika katika banda la maonesho wakati wa Tamasha la Kizimkazi 2026.

News
July 7, 2026 13:29:31 | By Ester Mbanguka VIONGOZI WA BODI YA T-PESA WATEMBELEA BANDA LA TTCL SABASABA 2026

Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL-PESA Bw. Richard Mayongela akiongozana na Wajumbe wengine wametembelea Banda la Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026), ambapo walijionea huduma mbalimbali za kidijitali na suluhisho za kifedha zinazotolewa kupitia T-PESA kwa wananchi, taasisi na wafanyabiashara.

News
August 7, 2023 10:43:01 | By Adeline Berchimance T-PESA YAPAA KIDIJITALI, YAZINDUA AKAUNTI PEPE

Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL ya T-PESA imezindua huduma mpya ya kifedha ya Akaunti Pepe(Virtual Account) ambayo inamuwezesha mtumiaji kufanya miamala ya kifedha kwa usalama na hivyo kuongeza chachu katika kukuza matumizi ya kifedha kidijitali.

News
July 8, 2024 14:25:03 | By Adeline Berchimance ZIARA YA WAJUMBE WA BODI SABA SABA

Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bodi ya

News
June 5, 2024 16:46:18 | By Adeline Berchimance TTCL YATOA MAFUNZO KWA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI KINYAMWEZI

Wanafunzi wa Kidato cha Nne kutoka Shule ya Secondari Kinyamwezi wamefanya ziara ya kujifunza masuala mbalimbali

News
June 4, 2026 17:29:37 | By Ester Mbanguka WAFANYAKAZI WA TTCL MKOA WA PWANI WAJENGEWA UWEZO KUHUSU TEKNOLOJIA ZA FTTX

Wafanyakazi wa TTCL Mkoa wa Pwani, wakiongozwa na Meneja wa Mkoa, Bw. Abdulrahim Chotta, wametembelea Kijitonyama FTTx Experience Centre kwa lengo la kujifunza, kubadilishana uzoefu na kuongeza uelewa kuhusu teknolojia za kisasa za mawasiliano zinazotolewa na Shirika.

News
August 30, 2024 10:23:40 | By Adeline Berchimance VIONGOZI WA TAASISI NA MASHIRIKA WAPEANA UZOEFU KUBORESHA UTENDAJI KAZI

Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Umma wameendelea na Kikao Kazi kilichowakutanisha jijini Arusha kwa lengo la kujadili masuala

News
August 12, 2024 13:07:50 | By Adeline Berchimance TTCL YALETA MAPINDUZI YA KIDIJITALI NCHINI – MWAKAGENDA

Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni Mwakilishi wa Wanawake Mkoa

News
September 25, 2023 16:54:30 | By Adeline Berchimance HAKUNA UCHUMI WA KIDIGITALI BILA TTCL KUWAJIBIKA- KM ABDULLAH

SERIKALI ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, imelitaka Shirika la Mawasiliano Tanzania (TCCL), kuhakikisha

News
September 15, 2023 09:16:44 | By Adeline Berchimance NICTBB NA ESCOM KULETA MABADILIKO SEKTA YA MAWASILIANO

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania-TTCL limesaini Mkataba wa Makubaliano ya Kibiashara na Kampuni ya Serikali ya Malawi

News
August 9, 2023 12:06:17 | By Adeline Berchimance WAFANYAKAZI 14 WA TTCL NA KINAPA WAPEWA TUZO

Wafanyakazi 14 wa TTCL na KINAPA watunukiwa tuzo maalum kwa kufanikisha ujenzi wa mawasiliano ya Intaneti katika kilele cha Mlima Kilimanjaro.