info@ttcl.co.tz
+255 22 210 0100
News
June 17, 2026 17:26:40 | By Ester Mbanguka WATUMISHI WAHIMIZWA KUIMARISHA UWAJIBIKAJI KWA HUDUMA ENDELEVU KWA WANANCHI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete (Mb), amezindua rasmi Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026 yanayofanyika katika Viwanja vya Chinangali Park, jijini Dodoma, huku akiwataka watumishi wa umma nchini kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa weledi, uwajibikaji na kujituma katika kutoa huduma bora na endelevu kwa wananchi.

News
June 16, 2026 17:14:06 | By Ester Mbanguka TTCL YASHIRIKI MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2026 DODOMA

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) linashiriki katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026 yanayofanyika kuanzia tarehe 16 hadi 23 Juni 2026 katika Viwanja vya Chinangali Park, jijini Dodoma.

News
June 11, 2026 17:38:11 | By Ester Mbanguka MKURUGENZI MKUU WA TTCL AKAGUA MIUNDOMBINU YA MAWASILIANO NA MIRADI YA UPANUZI WA FAIBA PEMBA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Moremi Marwa, amefanya ziara ya kukagua miundombinu mbalimbali ya mawasiliano katika Mkoa wa Pemba ikiwa ni sehemu ya jitihada za Shirika za kuhakikisha uwekezaji uliofanywa katika sekta ya mawasiliano unaleta tija, unaimarisha huduma kwa wananchi na kuchochea ukuaji wa uchumi wa kidijitali.

News
June 11, 2026 17:32:18 | By Ester Mbanguka TTCL YAONGEZA KASI YA UPANUZI WA HUDUMA ZA FAIBA ARUSHA, MKURUGENZI MKUU AKAGUA MAENDELEO

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Moremi Marwa, amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya utoaji wa huduma ya intaneti yenye kasi ya TTCL Faiba katika makazi ya wananchi jijini Arusha, ikiwa ni sehemu ya jitihada za Shirika za kuhakikisha Watanzania wanapata huduma bora, za uhakika na zenye kukidhi mahitaji ya uchumi wa kidijitali.

News
June 4, 2026 17:32:16 | By Ester Mbanguka UJUMBE WA UETCL WAPONGEZA TTCL KWA KUKUZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA KIDIJITALI AFRIKA MASHARIKI

Ujumbe kutoka Kampuni ya Kusafirisha Umeme nchini Uganda (Uganda Electricity Transmission Company Limited - UETCL) umetembelea Kijitonyama FTTx Experience Centre na kupongeza juhudi za Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) katika kuwekeza kwenye miundombinu na suluhisho za kidijitali zinazochangia maendeleo ya sekta ya mawasiliano nchini Tanzania na ukanda wa Afrika Mashariki.

News
June 4, 2026 17:29:37 | By Ester Mbanguka WAFANYAKAZI WA TTCL MKOA WA PWANI WAJENGEWA UWEZO KUHUSU TEKNOLOJIA ZA FTTX

Wafanyakazi wa TTCL Mkoa wa Pwani, wakiongozwa na Meneja wa Mkoa, Bw. Abdulrahim Chotta, wametembelea Kijitonyama FTTx Experience Centre kwa lengo la kujifunza, kubadilishana uzoefu na kuongeza uelewa kuhusu teknolojia za kisasa za mawasiliano zinazotolewa na Shirika.

News
May 14, 2026 10:44:02 | By Ester Mbanguka NAIBU WAZIRI DKT. MKAMA AWASILISHA TAARIFA YA UTENDAJI WA NIDC KAMATI YA BAJETI

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Switbert Zacharia Mkama (Mb), amewasilisha taarifa mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti katika kikao kilichofanyika Bungeni jijini Dodoma tarehe 13 Mei 2026.

News
May 2, 2026 15:31:42 | By Ester Mbanguka MEI MOSI 2026:RAIS SAMIA AHIMIZA BIDII, UAMINIFU NA WELEDI KATIKA KUCHOCHEA UJENZI WA UCHUMI NCHINI.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewahimiza Wafanyakazi kufanya kazi kwa bidii, uaminifu na weledi mkubwa ili kuchochea ujenzi wa uchumi imara,maendeleo ya jamii kwa kuzingatia misingi ya Amani na Mshikamano.

News
April 29, 2026 14:05:19 | By Ester Mbanguka TTCL YAKABIDHI MAGARI 9 NA BAJAJI 28 KUIMARISHA UTOAJI WA HUDUMA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Moremi Marwa, akabidhi rasmi magari tisa (9) na bajaji ishirini na nane (28) kwa Wakuu wa Idara na Vitengo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha utekelezaji wa majukumu ya Shirika na kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja.

News
April 17, 2026 14:25:24 | By Ester Mbanguka TTCL YAZINDUA KIJITONYAMA FTTX EXPERIENCE CENTER

Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL amezindua rasmi kituo cha kisasa cha maonesho kinachojulikana kama KIJITONYAMA FTTX Experience Center chenye lengo la kuonesha na kuelimisha umma kuhusu teknolojia ya mawasiliano ya kisasa.

News
April 17, 2026 14:18:58 | By Ester Mbanguka TTCL YAPONGEZWA KWA FAIDA YA SHILINGI BILIONI 22.9

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kusisitiza dhamira yake ya kuimarisha usimamizi na ufanisi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), kufuatia mafanikio ya Shirika hilo kurejea katika faida na kuonyesha mwelekeo chanya wa ukuaji wa kibiashara.

News
April 17, 2026 13:17:55 | By Ester Mbanguka TTCL YAPOKEA TUZO UIMARISHAJI WA UCHUMI WA KIDIJITALI NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemkabidhi tuzo Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Moremi Marwa, ikiwa ni kutambua mchango mkubwa wa shirika hilo katika kuimarisha miundombinu ya mawasiliano na kuchochea ukuaji wa uchumi wa kidijitali nchini.

News
April 13, 2026 14:42:06 | By Edwin Mashasi Powering Tanzania’s Digital Future: Nationwide ICT Backbone Expansion Launched

The President of the United Republic of Tanzania, H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan, has officially launched

News
March 25, 2026 14:20:28 | By Adeline Berchimance TTCL YASHIRIKI UZINDUZI WA MFUMO WA MTUMIAJI APP • Yaahidi kushirikiana kwa karibu na TCRA CCC

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Jasmine Kairuki (Mb), amezindua Mfumo wa

News
March 23, 2026 14:59:54 | By Adeline Berchimance RAIS DKT. MWINYI: SMZ ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA TTCL KUIMARISHA MAWASILIANO ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na