info@ttcl.co.tz
+255 22 210 0100
News
August 9, 2023 12:17:20 | By Adeline Berchimance WAZIRI WA KILIMO ZANZIBAR AIPONGEZA TTCL KWA KUIMARISHA MAWASILIANO.

Waziri wa Kilimo. Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar Mhe. Shamata Khamis amelipongeza Shirika la Mawasiliano Tanzania –TTCL kwa huduma wanazozitoa ambapo zimerahisisha Mawasiliano Nchini Tanzania na nje ya Nchi.

News
August 9, 2023 12:14:11 | By Adeline Berchimance NAPE ATAMBUA MCHANGO WALIOSHIRIKI UZINDUZI MLIMANI KILIMANJARO.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) awatunuku tuzo na vyeti kwa washiriki 57 walioshiriki katika uzinduzi wa huduma ya mawasiliano Intaneti katika kilele cha Mlima Kilimanjaro Disemba 13, 2022.

News
August 9, 2023 12:10:07 | By Adeline Berchimance WAZIRI NAPE AMLILIA MAREHEMU KAPEMBE, AMPA TUZO YA KIHISTORIA

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akabidhi tuzo kwa familia ya Marehemu Joachim Kapembe, kwa kutambua na kuthamini mchango wa Marehemu Joachim Kapembe wakati wa uzinduzi wa huduma ya Mawasiliano ya Intaneti katika kilele cha Mlima Kilimanjaro Disemba 13 2022.

News
August 9, 2023 12:06:17 | By Adeline Berchimance WAFANYAKAZI 14 WA TTCL NA KINAPA WAPEWA TUZO

Wafanyakazi 14 wa TTCL na KINAPA watunukiwa tuzo maalum kwa kufanikisha ujenzi wa mawasiliano ya Intaneti katika kilele cha Mlima Kilimanjaro.

News
August 7, 2023 12:11:10 | By Adeline Berchimance WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA TTCL SABASABA 2023

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) ametembelea banda la Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL lililopo ndani ya TEHAMA PAVILION katika Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

News
August 7, 2023 10:43:01 | By Adeline Berchimance T-PESA YAPAA KIDIJITALI, YAZINDUA AKAUNTI PEPE

Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL ya T-PESA imezindua huduma mpya ya kifedha ya Akaunti Pepe(Virtual Account) ambayo inamuwezesha mtumiaji kufanya miamala ya kifedha kwa usalama na hivyo kuongeza chachu katika kukuza matumizi ya kifedha kidijitali.

News
August 2, 2023 12:48:23 | By Adeline Berchimance MIUNDOMBINU BORA YA MAWASILIANO KITOVU CHA UKUAJI UCHUMI KIDIGITALI

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano la Tanzania- TTCL Bi. Zuhura Muro amesema TTCL inauwezo wa kuifanya Tanzania kuwa nchi kiongozi katika ukanda wa Afrika Mashariki na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC kutokana uwepo wa miundombinu bora ya mawasiliano yenye uwezo wa kufanikisha ukuaji wa uchumi wa kidjitali.

News
March 30, 2023 11:34:25 | By Adeline Berchimance TTCL WOMEN TOUCH THE NEEDY AT OCEAN ROAD

March 8 every year is International Women's Day, or International Women's Day. On this day, the women of the Tanzania Communications Association unite with their fellow women around the world to celebrate this important day.