Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) mwaka 2025 yamefanyika kwa
Maonesho ya Saba Saba ni maonyesho ya biashara na viwanda yanayofanyika
Mkurugenzi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL),Bw. Moremi Marwa, amesema katika Mwaka wa Fedha
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeungana na Mataifa mengine Duniani kuadhimisha Wiki ya Huduma
Kamati Tendaji ya Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania limefanya ziara
Watumishi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania-TTCL wapatiwa mafunzo kuhusu Sheria Mpya ya Ununuzi wa
Wito umetolewa kwa Wananchi kutumia huduma zinazozalishwa
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Kairuki, amewataka Watanzania kuchangamkia fursa zinazotokana na huduma za mawasiliano zinazotolewa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), hususan huduma za intaneti ya kasi kupitia Faiba Mlangoni Kwako, ili kuongeza matumizi ya teknolojia katika shughuli za kila siku na kuchangia ukuaji wa uchumi wa kidijitali nchini.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa (Mb) ameongoza msafara wa Mawaziri kutoka
Mkuu wa Wilaya ya Longido, Mhe. Salum Abdalah Kalli, amelipongeza Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa mchango wake katika kuimarisha sekta ya mawasiliano nchini na kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora na za uhakika, ikiwemo huduma ya intaneti kupitia Faiba Mlangoni Kwako.
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kutekeleza wajibu wake wa kijamii na kitaifa kwa kuwapokea wanafunzi kutoka vyuo na kada mbalimbali nchini kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo (Field Attachment) kwa mwaka wa masomo 2026/2027.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Moremi Marwa amewaalika wananchi kutembelea Banda la TTCL katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026) ili kujionea mageuzi ya kiteknolojia na suluhisho mbalimbali za kidijitali zinazotolewa na Shirika katika kuimarisha huduma za mawasiliano na kuchochea uchumi wa kidijitali nchini.
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limetangaza ofa kabambe ya punguzo la bei kwenye vifaa vya intaneti kwa wananchi wanaotembelea banda lake katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo ya Nane Nane 2026, ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha matumizi ya teknolojia ya kidijitali na kuongeza upatikanaji wa huduma bora za mawasiliano nchini.
Balozi wa Jamhuri ya Angola nchini Tanzania, Mheshimiwa Domingos Coelho, ametembelea Banda la Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026), yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius K. Nyerere.
Imeelezwa kuwa uwepo wa matumizi ya N-CARD katika maeneo ya vivuko, stendi za mabasi na