info@ttcl.co.tz
+255 22 210 0100
News
August 9, 2023 13:29:35 | By Adeline Berchimance BANDA LA TTCL LAWA KIVUTIO KILELE CHA NANENANE MBEYA

Wananchi na Wadau mbalimbali hususani Wakulima, Wafugaji na Wavuvi wamevutiwa na huduma na bidhaa zinazotolewa na Shirika la mawasiliano Tanzania.

News
August 7, 2023 10:43:01 | By Adeline Berchimance T-PESA YAPAA KIDIJITALI, YAZINDUA AKAUNTI PEPE

Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL ya T-PESA imezindua huduma mpya ya kifedha ya Akaunti Pepe(Virtual Account) ambayo inamuwezesha mtumiaji kufanya miamala ya kifedha kwa usalama na hivyo kuongeza chachu katika kukuza matumizi ya kifedha kidijitali.

News
August 26, 2024 12:38:16 | By Adeline Berchimance TTCL YADHAMINI MICHUANO YA KIZIMKAZI SAMIA YOUTH CUP 2024

Shirika la Mawasiliano Tanzania- TTCL Limedhamini Michuano ya Samia Youth Cup lenye lengo la kukuza vipaji kwa vijana katika michezo hapa nchini.

News
August 28, 2024 17:48:06 | By Adeline Berchimance RAIS SAMIA AZIAGIZA TAASISI NA MASHIRIKA YA UMMA KUFANYA KAZI KWA UFANISI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 28,2024 amefungua rasmi Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na

News
November 24, 2025 08:29:22 | By Adeline Berchimance T-PESA YADHAMINI NA KUSHIRIKI SEMINA YA UONGOZI WA WANAWAKE KATIKA BIMA BARANI AFRIKA

Kampuni ya T-Pesa imedhamini na kushiriki kikamilifu katika Semina ya Uongozi wa Wanawake katika Bima Barani Afrika

News
October 12, 2023 16:22:58 | By Adeline Berchimance SERIKALI NA WATOA HUDUMA ZA MAWASILIANO NCHINI WASAINISHANA MIKATABA

Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari chini ya Serikali ya Tanzania imefikia makubaliano ya kihistoria na Watoa

News
September 19, 2024 08:29:00 | By Adeline Berchimance WADAU WA SEKTA YA MAWASILIANO NA TEHAMA WATAKIWA KUIUNGANISHA AFRIKA

Mhe. Jerry Slaa (Mb) amewataka Wadau wa sekta ya TEHAMA na Mawasiliano kuunganisha Afrika kwenye miundombinu ya mawasiliano

News
August 2, 2023 12:48:23 | By Adeline Berchimance MIUNDOMBINU BORA YA MAWASILIANO KITOVU CHA UKUAJI UCHUMI KIDIGITALI

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano la Tanzania- TTCL Bi. Zuhura Muro amesema TTCL inauwezo wa kuifanya Tanzania kuwa nchi kiongozi katika ukanda wa Afrika Mashariki na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC kutokana uwepo wa miundombinu bora ya mawasiliano yenye uwezo wa kufanikisha ukuaji wa uchumi wa kidjitali.

News
August 12, 2024 10:18:44 | By Adeline Berchimance MRAJISI WA VYAMA VYA USHIRIKA AGUSWA NA HUDUMA YA MALIPO KWA MKUPUO YA T-PESA

Shirika la Mawasiliano Tanzania – TTCL Corporation limepongezwa kwa ubunifu wake wa kuiona fursa kwa

News
April 2, 2025 11:46:42 | By Adeline Berchimance KAMILISHENI UJENZI WA MINARA KWA WAKATI- CPA MARWA

Wakandarasi wa ujenzi wa minara ya mawasiliano wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kwakuzingatia

News
August 9, 2023 12:17:20 | By Adeline Berchimance WAZIRI WA KILIMO ZANZIBAR AIPONGEZA TTCL KWA KUIMARISHA MAWASILIANO.

Waziri wa Kilimo. Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar Mhe. Shamata Khamis amelipongeza Shirika la Mawasiliano Tanzania –TTCL kwa huduma wanazozitoa ambapo zimerahisisha Mawasiliano Nchini Tanzania na nje ya Nchi.

News
October 28, 2024 05:40:48 | By Adeline Berchimance WIZARA NA TAASISI ZAKE YAWASILISHA TAARIFA MBELE YA KAMATI YA MIUNDOMBINU

Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na taasisi zake za Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na

News
August 12, 2025 16:37:38 | By Adeline Berchimance WAJUMBE WA BODI YA TTCL WAKAGUA UTEKELEZAJI WA KAMPENI YA “FAIBA MLANGONI KWAKO” KIMARA

Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wamefanya ziara ya ukaguzi katika eneo la Kimara

News
March 30, 2023 11:34:25 | By Adeline Berchimance TTCL WOMEN TOUCH THE NEEDY AT OCEAN ROAD

March 8 every year is International Women's Day, or International Women's Day. On this day, the women of the Tanzania Communications Association unite with their fellow women around the world to celebrate this important day.

News
September 15, 2023 09:16:44 | By Adeline Berchimance NICTBB NA ESCOM KULETA MABADILIKO SEKTA YA MAWASILIANO

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania-TTCL limesaini Mkataba wa Makubaliano ya Kibiashara na Kampuni ya Serikali ya Malawi