Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL ya T-PESA imezindua huduma mpya ya kifedha ya Akaunti Pepe(Virtual Account) ambayo inamuwezesha mtumiaji kufanya miamala ya kifedha kwa usalama na hivyo kuongeza chachu katika kukuza matumizi ya kifedha kidijitali.
Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, Moremi Marwa, amefanya ziara ya kikazi katika mkoa wa Tanga kwa ajili ya kukagua
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry William Silaa (Mb) amezindua rasmi Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania - TTCL leo tarehe 16 Desemba, 2024, Makao Makuu ya TTCL, jijini Dar es Salaam.
SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL), limeshauriwa kufanya kazi kwa bidii, uadilifu, kutafuta wateja
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry Silaa Oktoba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhi cheti cha
Wanafunzi wa Chuo cha DIT wameshauriwa kuweka bidii na maarifa katika masomo yao ili waweze kufikia malengo na
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), CPA Moremi Andrea Marwa anashiriki kikao Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) limezindua Kampeni Mpya “WALETEE”
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limesema litaendelea kuboresha huduma zake kwa wateja kupitia
Shirika la Mawasiliano Tanzania – TTCL Corporation limepongezwa kwa ubunifu wake wa kuiona fursa kwa
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) awatunuku tuzo na vyeti kwa washiriki 57 walioshiriki katika uzinduzi wa huduma ya mawasiliano Intaneti katika kilele cha Mlima Kilimanjaro Disemba 13, 2022.
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limetoa wito kwa wadau mbalimbali wa Utalii nchini kuhamia katika utalii wa kidigitali.
Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) mwaka 2025 yamefanyika kwa
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa ameonesha kuridhishwa na maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa Kituo