info@ttcl.co.tz
+255 22 210 0100
News
August 7, 2024 12:20:57 | By Adeline Berchimance TUMIENI MAWASILIANO KWA USTAWI WA MIFUGO NA KILIMO

Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL limetoa rai kwa wakulima kutumia

News
July 7, 2025 20:52:15 | By Adeline Berchimance NAIBU WAZIRI MAHUNDI AIPONGEZA TTCL KWA UTENDAJI BORA WA HUDUMA ZA MAWASILIANO

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Maryprisca Mahundi (Mb), ametembelea banda la Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) katika

News
September 15, 2026 17:05:53 | By Debora Ngalima MHE. KAIRUKI ATEMBELEA KITUO CHA MAONESHO KIJITONYAMA, KUSHUHUDIA UBUNIFU WA TEKNOLOJIA YA FTTX

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Kairuki, amewataka Watanzania kuchangamkia fursa zinazotokana na huduma za mawasiliano zinazotolewa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), hususan huduma za intaneti ya kasi kupitia Faiba Mlangoni Kwako, ili kuongeza matumizi ya teknolojia katika shughuli za kila siku na kuchangia ukuaji wa uchumi wa kidijitali nchini.

News
May 27, 2025 16:05:50 | By Adeline Berchimance KONGAMANO LA BIASHARA OSAKA, JAPAN: TTCL YAWAITA WAWEKEZAJI KATIKA MIRADI YA KIMKAKATI

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limetumia fursa ya Kongamano la Biashara linalofanyika jijini Osaka, Japan kuanzia

News
June 16, 2025 08:30:38 | By Adeline Berchimance T-PESA YATOA ELIMU YA MIAMALA TAMASHA LA FINTECH

T-PESA Kampuni tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) imeendelea kutoa elimu ya miamala salama ya fedha kimtandao

News
June 28, 2026 18:39:47 | By Ester Mbanguka TTCL YASHIRIKI MAONESHO YA 50 YA BIASHARA YA KIMATAIFA SABASABA 2026

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) linashiriki katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.

News
July 6, 2026 17:42:31 | By Ester Mbanguka MKURUGENZI MKUU TTCL ATEMBELEA MABANDA YA TAASISI ZA MBALIMBALI SABASABA 2026

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Moremi Marwa, ametembelea mabanda ya taasisi mbalimbali zinazoshiriki Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026), kwa lengo la kujionea ubunifu wa teknolojia, kuimarisha ushirikiano wa kimkakati na kutambua fursa zinazoweza kuchochea maendeleo ya uchumi wa kidijitali nchini.

News
December 16, 2024 16:59:15 | By Ester Mbanguka WAZIRI SILAA AZINDUA RASMI BODI MPYA YA TTCL

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry William Silaa (Mb) amezindua rasmi Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania - TTCL leo tarehe 16 Desemba, 2024, Makao Makuu ya TTCL, jijini Dar es Salaam.

News
February 11, 2026 08:11:40 | By Adeline Berchimance TTCL NGUZO MUHIMU YA TEKNOLOJIA KATIKA MFUMO WA ANWANI ZA MAKAZI NA UCHUMI WA KIDIJITALI

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kujidhihirisha kama mdau mkuu wa teknolojia nchini kwa kusisitiza umuhimu

News
August 31, 2024 21:21:05 | By Adeline Berchimance CPA MARWA: TTCL KUIMARISHA MAWASILIANO KIDIGITALI

Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL , limesema linandelea kuwezesha nchi zinazoizunguka Tanzania kupata huduma ya Mawasiliano kupitia

News
October 18, 2024 15:35:03 | By Adeline Berchimance WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGA RASMI KONGAMANO LA TEHAMA 2024

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) amefunga rasmi Kongamano la

News
January 9, 2025 12:13:29 | By Adeline Berchimance IMARISHENI MIUNDOMBINU YA MAWASILIANO ILI KUFIKIA MALENGO YA SERIKALI – MHANDISI MAHUNDI

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb),

News
October 8, 2026 23:57:35 | By Debora Ngalima DKT. NDUMBARO APONGEZA TTCL KWA HUDUMA ZA MAWASILIANO KWA WAJUMBE WA IPU 2026

Mwenyekiti wa Ujumbe wa Tanzania katika Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb),amelipongeza Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa namna linavyotoa huduma za mawasiliano kwa wajumbe na washiriki wa Mkutano wa IPU 2026 unaofanyika jijini Arusha. Dkt. Ndumbaro alitoa pongezi hizo baada ya kutembelea banda la TTCL katika Mkutano wa IPU 2026, mapema leo Oktoba 8, 2026, ambapo alipata fursa ya kufahamu huduma za mawasiliano zinazotolewa na Shirika hilo kwa ajili ya kuwezesha shughuli za mkutano.

News
August 21, 2026 19:07:11 | By Debora Ngalima TTCL YAZINDUA FAIBA MLANGONI KWAKO AWAMU YA PILI, WATEJA 400,000 KUNUFAIKA

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limezindua rasmi utekelezaji wa Awamu ya Pili ya Mradi wa Faiba Mlangoni Kwako (FTTH), hatua inayolenga kuongeza upatikanaji wa huduma ya intaneti ya kasi kwa wananchi, taasisi za umma na binafsi pamoja na wafanyabiashara kupitia Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano. Uzinduzi wa mradi huo umefanyika leo, Agosti 21, 2026, katika Hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam, ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki (Mb).

News
July 22, 2025 15:57:44 | By Adeline Berchimance TTCL YAUNGANISHA AFRIKA MASHARIKI KIDIJITALI KUPITIA TANZANIA–UGANDA CORRIDOR

Katika hatua ya kuimarisha mawasiliano ya kikanda na kukuza uchumi wa kidijitali, Waziri wa