Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe Profesa Riziki Shemdoe ametoa rai kwa wananchi kutumia huduma zinazotolewa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) huku akipongeza juhudi za Shirika hilo katika kutekeleza dhamira ya Serikali ya kujenga Tanzania ya kidijitali na kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma bora na za uhakika za mawasiliano.
Wanafunzi wa Kidato cha Nne kutoka Shule ya Secondari Kinyamwezi wamefanya ziara ya kujifunza masuala mbalimbali
Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Mashirika na Taasisi za Umma kimefungwa rasmi na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Mohammed Khamis Abdulla, amesema
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) linaendelea kutoa huduma na elimu kwa wakulima na wananchi wanaotembelea Maonesho ya Nanenane 2026 yanayofanyika katika Uwanja wa John Malecela Nzuguni, jijini Dodoma.
Wanawake Viongozi kutoka kwenye Taasisi, Kampuni, Mashirika, Wajasiriamali na Wafanyabiashara wamekutana katika
Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, Wanawake wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wametoa
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Moremi Marwa, amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya utoaji wa huduma ya intaneti yenye kasi ya TTCL Faiba katika makazi ya wananchi jijini Arusha, ikiwa ni sehemu ya jitihada za Shirika za kuhakikisha Watanzania wanapata huduma bora, za uhakika na zenye kukidhi mahitaji ya uchumi wa kidijitali.
Imeelezwa kuwa uwepo wa matumizi ya N-CARD katika maeneo ya vivuko, stendi za mabasi na
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeungana na ujumbe wa wataalam kutoka Serikali ya Jamhuri ya
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imefanya ziara katika Kituo cha Kutunza Data Kimtandao
Shirika la Mawasiliano Tanzania-TTCL limepongezwa kwa jitihada na kazi kubwa inayofanyika ya kuleta mageuzi kidijitali nchini.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali inayo matumaini makubwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL)
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano la Tanzania- TTCL Bi. Zuhura Muro amesema TTCL inauwezo wa kuifanya Tanzania kuwa nchi kiongozi katika ukanda wa Afrika Mashariki na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC kutokana uwepo wa miundombinu bora ya mawasiliano yenye uwezo wa kufanikisha ukuaji wa uchumi wa kidjitali.
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kuwakaribisha wananchi, wafanyabiashara, taasisi za umma na binafsi kutembelea banda lake lililopo Government Pavilion 2, Viwanja vya John Malecela, Nzuguni jijini Dodoma, ili kujifunza na kujionea kwa karibu huduma na suluhisho mbalimbali za kisasa za mawasiliano na Teknolojia.