Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL ni miongoni mwa Taasisi na Mashirika ya Umma yaliyo chini ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari yaliyoshiriki maonesho yaliyoandaliwa na Wizara hiyo wakati wa Kikao cha 41 cha Baraza
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) linaendelea kuonesha dhamira ya kuleta mageuzi ya kidijitali