info@ttcl.co.tz
+255 22 210 0100
News
November 30, 2023 15:24:48 | By Adeline Berchimance T-PESA YATOA ELIMU KWA WATEJA MAADHIMISHO WIKI YA FEDHA

T- Pesa Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL-Corporation ni miongoni mwa Mashirika na

News
July 8, 2024 14:25:03 | By Adeline Berchimance ZIARA YA WAJUMBE WA BODI SABA SABA

Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bodi ya

News
October 13, 2025 08:45:27 | By Adeline Berchimance HUDUMA BORA KWA WATEJA, KIPAUMBELE CHA KWANZA CHA TTCL – NGOWI

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL), limesema kuwa litaendelea kuboresha huduma zake kwa kutumia

News
July 23, 2026 15:29:25 | By Debora Ngalima TTCL YAWAJENGEA UWEZO WANAFUNZI WA DIT KUHUSU UENDESHAJI WA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kuunga mkono juhudi za Serikali za kukuza ujuzi wa teknolojia nchini kwa kutoa mafunzo ya kitaalamu kwa wanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kuhusu uendeshaji na usimamizi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano.

News
August 27, 2025 11:02:05 | By Adeline Berchimance NAIBU WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA TTCL AICC ARUSHA

Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Doto Biteko, ametembelea Banda la Shirika

News
August 25, 2023 15:53:22 | By Adeline Berchimance NITAZIONDOA CHANGAMOTO NDANI YA TAASISI NA MASHIRIKA YA UMMA – RAIS DKT SAMIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan aahidi kuondoa changamoto zinazozikabili Taasisi na Mashirika ya Umma ili kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu yao.

News
June 29, 2026 23:12:55 | By Ester Mbanguka TTCL YAJIPANGA KIKAMILIFU KUWAHUDUMIA WATEJA SABASABA 2026

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limejipanga kikamilifu kuhakikisha wateja na wananchi wanaotembelea Banda Na. 26 katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026) wanapata huduma bora, elimu kuhusu bidhaa na huduma mbalimbali za kidijitali, pamoja na suluhisho zinazokidhi mahitaji yao.

News
July 3, 2025 16:23:12 | By Adeline Berchimance BABA LEVO AIPEPERUSHA BENDERA YA TTCL SABASABA

Msanii na Mtangazaji maarufu nchini ambaye pia ni Balozi wa Kampeini ya Walete ya Shirika la Mawasiliano Tanzania - TTCL,

News
November 26, 2024 08:31:53 | By Adeline Berchimance MKURUGENZI MKUU WA WAKALA WA MAENDELEO YA HUDUMA ZA MTANDAO NCHINI COMORO AFANYA ZIARA TTCL

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Maendeleo ya Huduma za Mtandao nchini Comoro (ANADEM) Bw. Said Mouinou

News
August 17, 2026 14:58:58 | By Debora Ngalima TTCL YAWEZESHA INTANETI YA KASI KATIKA MAKAZI YA AMANI RESIDENCY ZANZIBAR

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kuunga mkono juhudi za Serikali za kujenga mazingira wezeshi kwa uchumi wa kidijitali Zanzibar kwa kuwezesha huduma ya intaneti katika mradi wa makazi wa Amani Residency, uliopo Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, kupitia huduma yake ya Faiba Mlangoni Kwako.

News
February 23, 2024 19:42:29 | By Adeline Berchimance TTCL YAZIDI KUJIKITA KIMATAIFA KIBIASHARA

Imeelezwa kuwa Serikali ya Awamu ya Sita imeonesha dhamira thabiti ya kusimamia sekta ya mawasiliano nchini kwa

News
July 8, 2024 19:44:12 | By Adeline Berchimance SABA SABA FURSA YA KUKUTANA NA WATEJA NA KUIMARISHA MAHUSIANO KIBIASHARA

Maonesho ya Saba Saba ni maonyesho ya biashara na viwanda yanayofanyika

News
January 16, 2024 15:36:33 | By Adeline Berchimance Miaka 60 ya Mapinduzi Zanzibar

Ukosefu wa huduma za kijamii kama maji, umeme, elimu, miundombinu pamoja na mawasiliano

News
February 11, 2026 16:34:46 | By Adeline Berchimance TTCL YAPONGEZWA USIMAMIZI BORA WA MIUNDOMBINU YA TEHAMA KUPITIA NIDC

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kupitia Kituo cha Taifa cha Utunzaji Data Kimtandao (NIDC)