info@ttcl.co.tz
+255 22 210 0100
News
April 17, 2026 14:18:58 | By Ester Mbanguka TTCL YAPONGEZWA KWA FAIDA YA SHILINGI BILIONI 22.9

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kusisitiza dhamira yake ya kuimarisha usimamizi na ufanisi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), kufuatia mafanikio ya Shirika hilo kurejea katika faida na kuonyesha mwelekeo chanya wa ukuaji wa kibiashara.

News
August 16, 2024 15:06:02 | By Adeline Berchimance CPA MOREMI MARWA AKABIDHIWA OFISI RASMI

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania – TTCL, CPA Moremi Marwa amekabidhiwa rasmi Ofisi baada

News
October 8, 2026 23:57:35 | By Debora Ngalima DKT. NDUMBARO APONGEZA TTCL KWA HUDUMA ZA MAWASILIANO KWA WAJUMBE WA IPU 2026

Mwenyekiti wa Ujumbe wa Tanzania katika Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb),amelipongeza Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa namna linavyotoa huduma za mawasiliano kwa wajumbe na washiriki wa Mkutano wa IPU 2026 unaofanyika jijini Arusha. Dkt. Ndumbaro alitoa pongezi hizo baada ya kutembelea banda la TTCL katika Mkutano wa IPU 2026, mapema leo Oktoba 8, 2026, ambapo alipata fursa ya kufahamu huduma za mawasiliano zinazotolewa na Shirika hilo kwa ajili ya kuwezesha shughuli za mkutano.

News
August 5, 2026 11:38:38 | By Debora Ngalima TTCL INAENDELEA KUTOA HUDUMA NA ELIMU KWA WAKULIMA NA WANANCHI NANENANE 2026

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) linaendelea kutoa huduma na elimu kwa wakulima na wananchi wanaotembelea Maonesho ya Nanenane 2026 yanayofanyika katika Uwanja wa John Malecela Nzuguni, jijini Dodoma.

News
August 9, 2023 13:29:35 | By Adeline Berchimance BANDA LA TTCL LAWA KIVUTIO KILELE CHA NANENANE MBEYA

Wananchi na Wadau mbalimbali hususani Wakulima, Wafugaji na Wavuvi wamevutiwa na huduma na bidhaa zinazotolewa na Shirika la mawasiliano Tanzania.

News
August 29, 2026 21:22:12 | By Debora Ngalima TTCL YATOA MAFUNZO YA HUDUMA BORA KWA MTEJA KWA TIMU YA MAFUNDI WA FAIBA MKOANI DODOMA

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), kupitia Kitengo cha Uhusiano kwa Umma kutoka Makao Makuu, kwa kushirikiana na watumishi wa TTCL Mkoa wa Dodoma pamoja na kampuni ya Huawei, limefanikisha mafunzo maalum ya huduma bora kwa mteja yaliyolenga timu ya mafundi wanaotoa huduma ya uunganishaji wa intaneti ya Faiba Kwa wateja mbalimbali wa TTCL.

News
July 25, 2025 15:25:02 | By Adeline Berchimance TTCL NA YAS BUSINESS WAIMARISHA USHIRIKIANO UTEKELEZAJI WA AGENDA YA TANZANIA YA KIDIJITALI

Katika jitihada za kukuza uchumi wa kidijitali na kuimarisha miundombinu ya mawasiliano nchini, Shirika

News
June 16, 2025 08:30:38 | By Adeline Berchimance T-PESA YATOA ELIMU YA MIAMALA TAMASHA LA FINTECH

T-PESA Kampuni tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) imeendelea kutoa elimu ya miamala salama ya fedha kimtandao

News
July 20, 2026 15:34:19 | By Debora Ngalima TTCL YAWASHUKURU WATEJA NA WADAU, YAWAKARIBISHA KUENDELEA KUTUMIA HUDUMA ZAKE

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limewashukuru wananchi, wateja na wadau mbalimbali kwa mwitikio mkubwa waliouonesha kwa kutembelea Banda Na. 26 la TTCL katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, maarufu kama Sabasaba. Maonesho hayo yalifanyika kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai 2026 katika Viwanja vya Maonesho vya Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam.

News
August 9, 2023 12:10:07 | By Adeline Berchimance WAZIRI NAPE AMLILIA MAREHEMU KAPEMBE, AMPA TUZO YA KIHISTORIA

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akabidhi tuzo kwa familia ya Marehemu Joachim Kapembe, kwa kutambua na kuthamini mchango wa Marehemu Joachim Kapembe wakati wa uzinduzi wa huduma ya Mawasiliano ya Intaneti katika kilele cha Mlima Kilimanjaro Disemba 13 2022.

News
November 30, 2023 15:24:48 | By Adeline Berchimance T-PESA YATOA ELIMU KWA WATEJA MAADHIMISHO WIKI YA FEDHA

T- Pesa Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL-Corporation ni miongoni mwa Mashirika na

News
July 22, 2025 15:57:44 | By Adeline Berchimance TTCL YAUNGANISHA AFRIKA MASHARIKI KIDIJITALI KUPITIA TANZANIA–UGANDA CORRIDOR

Katika hatua ya kuimarisha mawasiliano ya kikanda na kukuza uchumi wa kidijitali, Waziri wa

News
August 17, 2026 14:48:48 | By Debora Ngalima TTCL YAIBUKA KINARA WA HUDUMA BORA ZA MAWASILIANO NCHINI

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limetajwa kuwa kinara katika utoaji wa huduma bora za mawasiliano nchini, hatua inayothibitisha mafanikio ya uwekezaji wa muda mrefu katika miundombinu na mifumo ya huduma kwa wateja.