Mashirika ya Umma yapatayo 248 na Mashirika yasiyo ya Umma 58 kupitia kwa Wenyeviti wa Bodi na
Wafanyakazi 14 wa TTCL na KINAPA watunukiwa tuzo maalum kwa kufanikisha ujenzi wa mawasiliano ya Intaneti katika kilele cha Mlima Kilimanjaro.
Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni Mwakilishi wa Wanawake Mkoa
Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL ni miongoni mwa Taasisi na Mashirika ya Umma yaliyo chini ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari yaliyoshiriki maonesho yaliyoandaliwa na Wizara hiyo wakati wa Kikao cha 41 cha Baraza
Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wamefanya ziara ya ukaguzi katika eneo la Kimara
Watumishi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wameonesha maandalizi ya hali ya juu katika kuhudumia wateja na
Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL linatoa shukrani kwa washiriki wa Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi waliotembelea banda lao la
Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL litawezesha huduma ya mawasiliano ya intaneti yenye kasi, Mkutano wa Kimataifa wa TEHAMA na Mawasiliano
T- Pesa Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL-Corporation ni miongoni mwa Mashirika na
Shirika la Mawasiliano Tanzania - TTCL linashiriki katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara Saba Saba katika
Katika muendelezo wa kutekekeleza agenda ya Serikali ya Tanzania ya Kidigitali, Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limepokea
Machi 7 mwaka huu Wanawake wa TTCL waliungana na Wanawake wenzao Zaidi ya 400
Serikali kupitia Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imefanya Kikao Kazi Maalum na Wadau wa Sekta ya
SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limetoa vifaa vya kufányia usafi soko la Mabibo jijini Dar es Salaam kwa lengo likiwa
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb),