info@ttcl.co.tz
+255 22 210 0100
Habari
January 16, 2024 15:36:33 | Na Adeline Berchimance Miaka 60 ya Mapinduzi Zanzibar

Ukosefu wa huduma za kijamii kama maji, umeme, elimu, miundombinu pamoja na mawasiliano

Habari
November 30, 2023 15:24:48 | Na Adeline Berchimance T-PESA YATOA ELIMU KWA WATEJA MAADHIMISHO WIKI YA FEDHA

T- Pesa Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL-Corporation ni miongoni mwa Mashirika na

Michezo
November 8, 2023 11:52:03 | Na Adeline Berchimance WI-FI YA BURE YAZINDULIWA BENJAMIN MKAPA STUDIUM

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) chini ya usimamizi wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari,

Michezo
October 27, 2023 16:25:13 | Na Adeline Berchimance VIONGOZI TTCL WASHIRIKI UZINDUZI WA MICHUANO YA AFL

Tanzania imekuwa Mwenyeji wa Uzinduzi wa Michuano Mipya ya African Football League (AFL) iliyoshuhudiwa na viongozi

Habari
October 12, 2023 16:22:58 | Na Adeline Berchimance SERIKALI NA WATOA HUDUMA ZA MAWASILIANO NCHINI WASAINISHANA MIKATABA

Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari chini ya Serikali ya Tanzania imefikia makubaliano ya kihistoria na Watoa

Michezo
October 11, 2023 12:52:38 | Na Adeline Berchimance TTCL QUEENS MABINGWA WAAJIRI HEALTH BONANZA 2023

Timu ya TTCL ya Mpira wa Pete (TTCL Queens) imeibuka kidedea katika Bonanza la Michezo

Habari
October 11, 2023 11:10:40 | Na Adeline Berchimance MAWASILIANO NI BIASHARA ONGEZENI UBUNIFU-NAIBU KATIBU MKUU SMZ

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL), limeshauriwa kufanya kazi kwa bidii, uadilifu, kutafuta wateja

Habari
September 25, 2023 16:54:30 | Na Adeline Berchimance HAKUNA UCHUMI WA KIDIGITALI BILA TTCL KUWAJIBIKA

SERIKALI ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, imelitaka Shirika la Mawasiliano Tanzania (TCCL), kuhakikisha

Habari
September 22, 2023 11:40:44 | Na Adeline Berchimance TAASISI, MASHIRIKA, WIZARA TUMIENI DATA CENTRE KUTUNZA DATA KIMTANDAO – KATIBU MKUU WHMTH

Wito umetolewa kwa Taasisi, Mashirika ya Umma na binafsi na Wizara mbalimbali kutumia Kituo cha Kutunza Data Kimtandao (Data Centre)

Habari
September 15, 2023 14:17:21 | Na Adeline Berchimance TUNA MATUMAINI MAKUBWA NA TTCL - WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali inayo matumaini makubwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL)

Habari
September 15, 2023 09:16:44 | Na Adeline Berchimance NICTBB NA ESCOM KULETA MABADILIKO SEKTA YA MAWASILIANO

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania-TTCL limesaini Mkataba wa Makubaliano ya Kibiashara na Kampuni ya Serikali ya Malawi

Habari
September 14, 2023 15:53:20 | Na Adeline Berchimance TTCL YAWEZESHA INTANETI YA KASI KONGAMANO LA CONNECT 2 CONNECT (C2C) ZANZIBAR.

TTCL kama kitovu cha Mawasiliano imehakikisha huduma ya intaneti inapatikana katika kiwango cha juu katika

Michezo
September 14, 2023 11:46:04 | Na Adeline Berchimance TTCL QUEENS YAIBUKA MSHINDI WA TATU ATE

Timu ya Mpira wa Pete ya Shirika la Mawasiliano Tanzania, (TTCL Queens) imeshiriki Bonanza la Michezo (ATE)

Habari
September 6, 2023 09:21:29 | Na Adeline Berchimance TTCL YAFANIKISHA MKUTANO WA PAPU KIMTANDAO

Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL ni miongoni mwa Taasisi na Mashirika ya Umma yaliyo chini ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari yaliyoshiriki maonesho yaliyoandaliwa na Wizara hiyo wakati wa Kikao cha 41 cha Baraza

Habari
August 25, 2023 15:53:22 | Na Adeline Berchimance NITAZIONDOA CHANGAMOTO NDANI YA TAASISI NA MASHIRIKA YA UMMA – RAIS DKT SAMIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan aahidi kuondoa changamoto zinazozikabili Taasisi na Mashirika ya Umma ili kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu yao.