Maswali ya Mara kwa Mara
Unapaswa kuomba huduma kwa kujaza fomu ya maombi. Fomu zinapatikana katika Vituo vyetu vyote vya Huduma kwa Wateja.
Tafadhali ripoti laini yako yenye hitilafu kwa kupiga namba 100 ya Huduma kwa Wateja au kupitia tovuti yetu Huduma Binafsi(Customer Self Portal).