info@ttcl.co.tz
+255 22 210 0100
Habari
August 2, 2023 12:48:23 | Na Adeline Berchimance MIUNDOMBINU BORA YA MAWASILIANO KITOVU CHA UKUAJI UCHUMI KIDIGITALI

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano la Tanzania- TTCL Bi. Zuhura Muro amesema TTCL inauwezo wa kuifanya Tanzania kuwa nchi kiongozi katika ukanda wa Afrika Mashariki na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC kutokana uwepo wa miundombinu bora ya mawasiliano yenye uwezo wa kufanikisha ukuaji wa uchumi wa kidjitali.

Habari
March 30, 2023 11:34:25 | Na Adeline Berchimance WANAWAKE WA TTCL WATOA MSAADA OCEAN ROAD

Tarehe 8 Machi kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Wanawake, ama Siku ya Wanawake Duniani. Katika siku hii, wanawake wa Shirika la Mawasiliano Tanzania huungana na Wanawake wenzao duniani kote kuadhimisha siku hii muhimu.