Timu ya Mchezo wa Pete ya Shirika la Mawasiliano Tanzania –TTCL QUEENS imeifunga magoli 12 kwa 9 timu ya Wafanyakazi wa Chuo cha Elimu ya Biashara CBE katika mchezo uliochezwa Agosti 16 mwaka huu katika viwanja vya chuo hicho.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Zanzibar, Mhe. Dkt. Riziki Pembe Juma, amesema ushirikiano kati ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) una fursa kubwa ya kubadilisha uendeshaji wa soka Zanzibar kwa kutumia teknolojia za kidijitali.
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kushiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii kwa kushirikiana na wadau, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha uhusiano na jamii, kuhamasisha matumizi ya teknolojia katika maisha ya kila siku. Katika kuunga mkono juhudi hizo, TTCL imeshiriki Tamasha la Kinondoni Jogging Association (KIJA) 2026, lililofanyika Viwanja Vya Posta Kijitonyama likilenga kuwakutanisha wananchi katika shughuli za kijamii, afya na burudani.
Tanzania imekuwa Mwenyeji wa Uzinduzi wa Michuano Mipya ya African Football League (AFL) iliyoshuhudiwa na viongozi
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kudhihirisha dhamira yake ya kuimarisha ustawi
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) chini ya usimamizi wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari,
Timu ya TTCL ya Mpira wa Pete (TTCL Queens) imeibuka kidedea katika Bonanza la Michezo
Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), T-PESA, kupitia huduma yake ya N-card, imeendelea kudhihirisha dhamira yake ya kuunga mkono maendeleo ya soka Zanzibar kwa kudhamini na kushiriki kikamilifu katika Mchezo wa Ngao ya Jamii 2026 uliozikutanisha KVZ FC na KMKM SC uliofanyika tarehe 23 Agosti 2026 katika Uwanja wa Mao, Zanzibar.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete
Timu ya Mpira wa Pete ya Shirika la Mawasiliano Tanzania, (TTCL Queens) imeshiriki Bonanza la Michezo (ATE)
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), limeshiriki Mbio za CRDB International Marathon Msimu wa Nne ambapo ambapo zililenga kukusanya fedha kwa ajili ya kuwasaidia Wanawake wenye ugonjwa wa Fistula wanaotibiwa katika Hospitali ya CCBRT Jijini Dar es Salaam.