Tafadhali ingiza Data (MB), Kama haihitajiki weka 0
Mfano. 50
Tafadhali ingiza Dakika, Kama haihitajiki weka 0
Mfano. 5
Tafadhali ingiza SMS, Kama haihitajiki weka 0
Mfano. 10
GHARAMA
Unanunua MB 50, dakika 5, SMS 10 kwa Tsh. 164, 1. Salio 2. T-PESA 3. Ingiza tena 4. Sitisha
Chagua njia ya malipo 1. Salio au 2. T-PESA au chagua 3. Ingiza tena kutengeneza upya kifurushi chako au 4. Sitisha kusitisha utengenezaji wa kifurushi.
Vigezo na Masharti
Bei zote zinajumuisha VAT.
Kifurushi kinapatikana kwa wateja wote wa rununu wa malipo ya kabla..
Ni kifurushi kisichoisha muda wake
Mteja anaruhusiwa kujiunga vifurushi vingi.
Mkusanyiko kwenye usajili mwingi unaruhusiwa na manufaa yatakusanywa kulingana na usajili.
TTCL ina mamlaka kamili ya kubadilisha ofa yoyote pale itakapoonekana ni muhimu.