Muda wa kifurushi | Data | Bei (Tshs.) |
---|---|---|
Siku | 220 MB | 500 |
Wiki | 700 MB | 1,500 |
Mwezi | 2.75 GB | 5,000 |
Vigezo na Masharti
Bidhaa hii imetengenezwa kwa ajili ya wanafunzi tu
Wanafunzi wanapaswa kuleta kitambulisho halali cha mwanafunzi kwa uthibitisho
Kadi moja ya kitambulisho cha mwanafunzi itaruhusiwa kusajili SIM kadi moja tu
Bei zote zinajumuisha VAT
Mteja anayetumia huduma hii pia ataweza kupata huduma zingine za rununu za TTCL
Kifurushi kisichotumika kitakwisha wakati kipindi cha uhalali kitakapoisha.
Mteja anaruhusiwa kujiunga vifurushi vingi.
Ikiwa mteja amejiunga vifurushi vingi, kifurushi kitakachoanza kutumika ni kile chenye muda wa ukomo mdogo kuliko vingine.
TTCL ina mamlaka kamili ya kubadilisha ofa yoyote pale itakapoonekana ni muhimu.
Jinsi ya Kujiunga