info@ttcl.co.tz
+255 22 210 0100
News
July 4, 2024 12:29:51 | By Adeline Berchimance TTCL YAJA NA HUDUMA YA T CAFE

SHIRIKA ya Mawasiliano Tanzania (TTCL) limekuja na huduma mpya ambayo itahusisha kufunga mtandao kwa bei nafuu katika

News
September 14, 2023 15:53:20 | By Adeline Berchimance TTCL YAWEZESHA INTANETI YA KASI KONGAMANO LA CONNECT 2 CONNECT (C2C) ZANZIBAR.

TTCL kama kitovu cha Mawasiliano imehakikisha huduma ya intaneti inapatikana katika kiwango cha juu katika

News
April 8, 2024 14:20:05 | By Adeline Berchimance KAMATI YA BUNGE YA TEHAMA NA MIONGOZO YA KITAIFA YA UGANDA YAFANYA ZIARA TTCL

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya TEHAMA na Miongozo ya Kitaifa ya Uganda kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano ya Uganda

News
August 29, 2024 17:27:10 | By Adeline Berchimance CPA MOREMI MARWA ATEMBELEA BANDA LA TTCL ARUSHA

Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, CPA Moremi Marwa, ametembelea Banda la Maonesho la Shirika hilo lililopo katika Viwanja vya Ukumbi

News
October 13, 2024 11:19:41 | By Adeline Berchimance TTCL YATOA WITO KWA WADAU KUHAMIA UTALII WA KIDIGITALI

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limetoa wito kwa wadau mbalimbali wa Utalii nchini kuhamia katika utalii wa kidigitali.

News
August 9, 2024 10:46:59 | By Adeline Berchimance TTCL YAPELEKA HUDUMA ZAKE NANE NANE DODOMA

Shirika la Mawasiliano Tanzania –TTCL Corporation limepeleka huduma na bidhaa zake katika Maonesho ya Wakulima na Wafugaji maarufu

News
July 13, 2024 13:50:02 | By Adeline Berchimance MKURUGENZI MTENDAJI T- PESA AONGOZA JUKWAA LA WANAWAKE SABASABA 2024

Wanawake Viongozi kutoka kwenye Taasisi, Kampuni, Mashirika, Wajasiriamali na Wafanyabiashara wamekutana katika

News
May 21, 2024 13:25:49 | By Adeline Berchimance HAKUNA MAPINDUZI YA TEKNOLOJIA TANZANIA BILA TTCL-MURO

Shirika la Mawasiliano Tanzania- TTCL Corporation limefanikiwa kukusanya shilingi 135,216,317,693 hadi kufikia Aprili 2024 katika

News
October 11, 2023 11:10:40 | By Adeline Berchimance MAWASILIANO NI BIASHARA ONGEZENI UBUNIFU-NAIBU KATIBU MKUU SMZ

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL), limeshauriwa kufanya kazi kwa bidii, uadilifu, kutafuta wateja

News
January 9, 2025 12:13:29 | By Adeline Berchimance IMARISHENI MIUNDOMBINU YA MAWASILIANO ILI KUFIKIA MALENGO YA SERIKALI – MHANDISI MAHUNDI

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb),

News
November 30, 2023 15:24:48 | By Adeline Berchimance T-PESA YATOA ELIMU KWA WATEJA MAADHIMISHO WIKI YA FEDHA

T- Pesa Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL-Corporation ni miongoni mwa Mashirika na

News
March 14, 2024 12:33:57 | By Adeline Berchimance UBUNIFU, WELEDI, KUJITAMBUA NA KUJIAMINI VYA TAJWA KUWA SILAHA YA WANAWAKE KUTIMIZA MALENGO

Wanawake Wafanyakazi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania wameshauri kuendeleza jitihada zaidi na ubunifu, kujitambua,

News
October 24, 2024 08:36:23 | By Adeline Berchimance WAZIRI SILAA ZIARANI MKOANI SINGIDA

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry Silaa (Mb) ameanza ziara

News
February 7, 2025 12:39:45 | By Adeline Berchimance WASTAAFU TTCL WAISHUKURU MENEJIMENTI KWA KUWAPA MAFUNZO YA KUSTAAFU

Wafanyakazi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL waliostaafu na wanaotarajia kustaafu hivi karibuni wameishukuru Menejimenti