Ukosefu wa huduma za kijamii kama maji, umeme, elimu, miundombinu pamoja na mawasiliano
T-PESA, Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), imehitimisha ushiriki wake katika
Kamati Tendaji ya Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania limefanya ziara
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limetoa wito kwa wadau mbalimbali wa Utalii nchini kuhamia katika utalii wa kidigitali.
Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania, T-PESA Limited na Shirika la Bima
Waziri wa Kilimo. Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar Mhe. Shamata Khamis amelipongeza Shirika la Mawasiliano Tanzania –TTCL kwa huduma wanazozitoa ambapo zimerahisisha Mawasiliano Nchini Tanzania na nje ya Nchi.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), CPA Moremi Andrea Marwa anashiriki kikao Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na
Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), T-PESA, imeshiriki kikamilifu katika ufunguzi rasmi wa Maadhimisho ya
TTCL kama kitovu cha Mawasiliano imehakikisha huduma ya intaneti inapatikana katika kiwango cha juu katika
Wanafunzi wa Kidato cha Nne kutoka Shule ya Secondari Kinyamwezi wamefanya ziara ya kujifunza masuala mbalimbali
Serikali kupitia Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imefanya Kikao Kazi Maalum na Wadau wa Sekta ya
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limefanya kikao cha 12 cha Baraza Kuu la Wafanyakazi
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt.Switbert Mkama amehimiza Uwajibikaji kwa Viongozi,
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Agosti 24 mwaka huu lilitoa semina maalum kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL ya T-PESA imezindua huduma mpya ya kifedha ya Akaunti Pepe(Virtual Account) ambayo inamuwezesha mtumiaji kufanya miamala ya kifedha kwa usalama na hivyo kuongeza chachu katika kukuza matumizi ya kifedha kidijitali.