Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Moremi Marwa, akabidhi rasmi magari tisa (9) na bajaji ishirini na nane (28) kwa Wakuu wa Idara na Vitengo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha utekelezaji wa majukumu ya Shirika na kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja.
Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL amezindua rasmi kituo cha kisasa cha maonesho kinachojulikana kama KIJITONYAMA FTTX Experience Center chenye lengo la kuonesha na kuelimisha umma kuhusu teknolojia ya mawasiliano ya kisasa.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kusisitiza dhamira yake ya kuimarisha usimamizi na ufanisi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), kufuatia mafanikio ya Shirika hilo kurejea katika faida na kuonyesha mwelekeo chanya wa ukuaji wa kibiashara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemkabidhi tuzo Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Moremi Marwa, ikiwa ni kutambua mchango mkubwa wa shirika hilo katika kuimarisha miundombinu ya mawasiliano na kuchochea ukuaji wa uchumi wa kidijitali nchini.
The President of the United Republic of Tanzania, H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan, has officially launched
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Jasmine Kairuki (Mb), amezindua Mfumo wa