info@ttcl.co.tz
+255 22 210 0100
News
August 2, 2023 12:48:23 | By Adeline Berchimance MIUNDOMBINU BORA YA MAWASILIANO KITOVU CHA UKUAJI UCHUMI KIDIGITALI

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano la Tanzania- TTCL Bi. Zuhura Muro amesema TTCL inauwezo wa kuifanya Tanzania kuwa nchi kiongozi katika ukanda wa Afrika Mashariki na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC kutokana uwepo wa miundombinu bora ya mawasiliano yenye uwezo wa kufanikisha ukuaji wa uchumi wa kidjitali.

News
October 9, 2025 15:28:25 | By Adeline Berchimance TTCL YASHIRIKI KATIKA ZIARA YA KIKAZI NCHINI JAPANI KUJIFUNZA MBINU BORA ZA KUKUZA UBUNIFU NA TEKNOLOJIA

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeungana na ujumbe wa wataalam kutoka Serikali ya Jamhuri ya

News
November 30, 2023 15:24:48 | By Adeline Berchimance T-PESA YATOA ELIMU KWA WATEJA MAADHIMISHO WIKI YA FEDHA

T- Pesa Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL-Corporation ni miongoni mwa Mashirika na

News
July 2, 2024 12:53:59 | By Adeline Berchimance TTCL YATEMBELEA WATEJA SABA SABA

Shirika la Mawasiliano Tanzania -TTCL likiwa ni miongoni mwa Taasisi Mashirika Wajasiriamali na Wafanyabiasha wanaoshiriki Maonesho

News
July 4, 2024 12:29:51 | By Adeline Berchimance TTCL YAJA NA HUDUMA YA T CAFE

SHIRIKA ya Mawasiliano Tanzania (TTCL) limekuja na huduma mpya ambayo itahusisha kufunga mtandao kwa bei nafuu katika

News
November 22, 2024 08:21:03 | By Adeline Berchimance TTCL SASA NI MWENDO WA “WALETEE” KUWARUDISHA WATANZANIA NYUMBANI

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) limezindua Kampeni Mpya “WALETEE”

News
August 26, 2024 12:48:37 | By Adeline Berchimance RAIS SAMIA APONGEZA TTCL USHIRIKI TAMASHA LA KIZIMKAZI 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhi cheti cha

News
May 21, 2024 13:25:49 | By Adeline Berchimance HAKUNA MAPINDUZI YA TEKNOLOJIA TANZANIA BILA TTCL-MURO

Shirika la Mawasiliano Tanzania- TTCL Corporation limefanikiwa kukusanya shilingi 135,216,317,693 hadi kufikia Aprili 2024 katika

News
September 19, 2024 08:24:58 | By Adeline Berchimance MHE. SILAA APONGEZA JUHUDI ZA TTCL KATIKA KUUNGANISHA AFRIKA

Mhe.Jerry Silaa amepongeza juhudi za Shirika la Mawasiliano Tanzania-TTCL katika kuungaisha nchi za jirani

News
August 12, 2025 16:37:38 | By Adeline Berchimance WAJUMBE WA BODI YA TTCL WAKAGUA UTEKELEZAJI WA KAMPENI YA “FAIBA MLANGONI KWAKO” KIMARA

Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wamefanya ziara ya ukaguzi katika eneo la Kimara

News
February 27, 2026 14:05:01 | By Adeline Berchimance TTCL YAWEKA MIKAKATI MADHUBUTI KUFANIKISHA DIRA YA MAENDELEO 2050

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Moremi Marwa, amewasilisha mafanikio ya

News
March 23, 2026 14:59:54 | By Adeline Berchimance RAIS DKT. MWINYI: SMZ ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA TTCL KUIMARISHA MAWASILIANO ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na

News
October 24, 2024 08:36:23 | By Adeline Berchimance WAZIRI SILAA ZIARANI MKOANI SINGIDA

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry Silaa (Mb) ameanza ziara

News
August 9, 2023 13:29:35 | By Adeline Berchimance BANDA LA TTCL LAWA KIVUTIO KILELE CHA NANENANE MBEYA

Wananchi na Wadau mbalimbali hususani Wakulima, Wafugaji na Wavuvi wamevutiwa na huduma na bidhaa zinazotolewa na Shirika la mawasiliano Tanzania.